Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 21:19 - Swahili Revised Union Version

19 Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Ni afadhali kuishi jangwani kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Ni afadhali kuishi jangwani kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi.

Tazama sura Nakili

Methali 21:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mwana mpumbavu ni msiba kwa babaye; Na ugomvi wa mke kama kudondoka kwa matone daima.

Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.

Matone daima kudondoka siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa;

Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake.

Laiti ningekuwa na mahali pa kukaa jangwani, kibanda cha wasafiri; nipate kuwaacha watu wangu, na kuondoka kwao! Maana wao ni wazinzi, wote pia, mkutano wa watu wenye hiana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo