Methali 21:18 - Swahili Revised Union Version18 Mtu asiye haki ni fidia ya wenye haki; Naye afanyaye hila ni badala ya watu wa adili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Mwovu atapata pigo ambalo halitampata mtu mwema, mkosefu ataadhibiwa badala ya mnyofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Mwovu atapata pigo ambalo halitampata mtu mwema, mkosefu ataadhibiwa badala ya mnyofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Mwovu atapata pigo ambalo halitampata mtu mwema, mkosefu ataadhibiwa badala ya mnyofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Mtu asiye haki ni fidia ya wenye haki; Naye afanyaye hila ni badala ya watu wa adili. Tazama sura |