Methali 19:13 - Swahili Revised Union Version13 Mwana mpumbavu ni msiba kwa babaye; Na ugomvi wa mke kama kudondoka kwa matone daima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mtoto mpumbavu ni balaa kwa baba yake; na ugomvi wa mke ni kama matone ya mvua yasiyoisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mtoto mpumbavu ni balaa kwa baba yake; na ugomvi wa mke ni kama matone ya mvua yasiyoisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mtoto mpumbavu ni balaa kwa baba yake; na ugomvi wa mke ni kama matone ya mvua yasiyoisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye, naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye, naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Mwana mpumbavu ni msiba kwa babaye; Na ugomvi wa mke kama kudondoka kwa matone daima. Tazama sura |