Methali 19:14 - Swahili Revised Union Version14 Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi, bali mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi, bali mke mwenye busara hutoka kwa bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA. Tazama sura |