Methali 28:19 - Swahili Revised Union Version Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi atapata umaskini wa kumtosha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Anayelima shamba lake atapata chakula kingi, bali anayefuata yasiyofaa atapata umaskini tele. Biblia Habari Njema - BHND Anayelima shamba lake atapata chakula kingi, bali anayefuata yasiyofaa atapata umaskini tele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Anayelima shamba lake atapata chakula kingi, bali anayefuata yasiyofaa atapata umaskini tele. Neno: Bibilia Takatifu Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yule afuataye mambo ya upuzi atakuwa na umaskini wa kumtosha. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yule afuataye mambo ya upuzi atakuwa na umaskini wa kumtosha. BIBLIA KISWAHILI Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi atapata umaskini wa kumtosha. |
Wakampa vipande vya fedha sabini vilivyotoka katika nyumba ya Baal-berithi, na kwa fedha hizo Abimeleki akaajiri watu wapuuzi mabaradhuli, wafuatane naye.