Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri.
Methali 26:16 - Swahili Revised Union Version Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake, Kuliko watu saba wawezao kutoa sababu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. Biblia Habari Njema - BHND Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. BIBLIA KISWAHILI Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake, Kuliko watu saba wawezao kutoa sababu. |
Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri.
Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
Muwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa heshima.