Sikia, Ee Mungu wetu; maana tunadharauliwa; ukawarudishie mashutumu yao juu ya vichwa vyao, ukawatoe watekwe katika nchi ya uhamisho;
Methali 18:3 - Swahili Revised Union Version Ajapo asiye haki, huja dharau pia; Na pamoja na aibu huja lawama. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ajapo mwovu huja pia dharau; pamoja na aibu huja fedheha. Biblia Habari Njema - BHND Ajapo mwovu huja pia dharau; pamoja na aibu huja fedheha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ajapo mwovu huja pia dharau; pamoja na aibu huja fedheha. Neno: Bibilia Takatifu Uovu unapokuja, dharau huja pia; pamoja na aibu huja lawama. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati uovu unapokuja, dharau huja pia, pamoja na aibu huja lawama. BIBLIA KISWAHILI Ajapo asiye haki, huja dharau pia; Na pamoja na aibu huja lawama. |
Sikia, Ee Mungu wetu; maana tunadharauliwa; ukawarudishie mashutumu yao juu ya vichwa vyao, ukawatoe watekwe katika nchi ya uhamisho;
Laumu imenivunja moyo, Nami ninaugua sana. Nikangoja aje wa kunihurumia, wala hakuna; Na wa kunifariji, wala sikumwona mtu.
Maneno ya kinywa cha mtu ni kama maji ya vilindi; Kijito kibubujikacho; chemchemi ya hekima.
Mkilaumiwa kwa ajili ya jina la Kristo ni heri yenu; kwa kuwa Roho wa utukufu na wa Mungu anawakalia.
mambo ambayo wao huona kuwa ni ajabu ya ninyi kutokwenda mbio pamoja nao katika ufisadi ule ule usio na kiasi, wakiwatukana.
Basi hasira yake Sauli ikawaka juu ya Yonathani, akamwambia, Wewe, mwana wa mke mkaidi, asi, je! Mimi sijui ya kuwa umemchagua huyo mwana wa Yese, kwa aibu yako mwenyewe, na kwa aibu ya uchi wa mama yako.