Methali 13:5 - Swahili Revised Union Version5 Mwenye haki huchukia kusema uongo; Bali mtu mbaya huwa karaha, hupatwa na aibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwadilifu huuchukia uongo, lakini mwovu hutenda kwa aibu na fedheha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwadilifu huuchukia uongo, lakini mwovu hutenda kwa aibu na fedheha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwadilifu huuchukia uongo, lakini mwovu hutenda kwa aibu na fedheha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mwenye haki huchukia uongo, bali waovu huleta aibu na fedheha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mwenye haki huchukia uongo, bali waovu huleta aibu na fedheha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Mwenye haki huchukia kusema uongo; Bali mtu mbaya huwa karaha, hupatwa na aibu. Tazama sura |
Na hao wa kwenu watakaookoka watanikumbuka kati ya mataifa, watakakochukuliwa mateka, jinsi nilivyoiponda mioyo yao ya kikahaba, iliyoniacha, na macho yao, yaendayo kufanya uasherati na vinyago vyao; nao watajichukia nafsi zao machoni pao wenyewe, kwa sababu ya mabaya yao yote, waliyoyatenda kwa machukizo yao yote.