Methali 14:25 - Swahili Revised Union Version Shahidi wa kweli huponya nafsi za watu; Bali atoaye uongo hudanganya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shahidi wa kweli huokoa maisha, lakini msema uongo ni msaliti. Biblia Habari Njema - BHND Shahidi wa kweli huokoa maisha, lakini msema uongo ni msaliti. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shahidi wa kweli huokoa maisha, lakini msema uongo ni msaliti. Neno: Bibilia Takatifu Shahidi wa kweli huokoa maisha, bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu. Neno: Maandiko Matakatifu Shahidi wa kweli huokoa maisha, bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu. BIBLIA KISWAHILI Shahidi wa kweli huponya nafsi za watu; Bali atoaye uongo hudanganya. |
nikiwashuhudia Wayahudi na Wagiriki wamtubie Mungu, na kumwamini Bwana wetu Yesu Kristo.
Mkijua kwanza neno hili ya kwamba katika siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki, wafuatao tamaa zao wenyewe,