Methali 14:24 - Swahili Revised Union Version24 Taji la wenye hekima ni mali zao; Bali upumbavu wa wajinga ni upumbavu tu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Utajiri wa wenye hekima ni taji lao, bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Utajiri wa wenye hekima ni taji yao, bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Taji la wenye hekima ni mali zao; Bali upumbavu wa wajinga ni upumbavu tu. Tazama sura |