Methali 14:5 - Swahili Revised Union Version5 Shahidi mwaminifu hatasema uongo; Bali shahidi wa uongo, pumzi zake ni uongo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Shahidi mwaminifu hasemi uongo, lakini asiyeaminika hububujika uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Shahidi mwaminifu hasemi uongo, lakini asiyeaminika hububujika uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Shahidi mwaminifu hasemi uongo, lakini asiyeaminika hububujika uongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Shahidi mwaminifu hadanganyi, bali shahidi wa uongo humimina uongo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Shahidi mwaminifu hadanganyi, bali shahidi wa uongo humimina uongo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Shahidi mwaminifu hatasema uongo; Bali shahidi wa uongo, pumzi zake ni uongo. Tazama sura |