Methali 11:8 - Swahili Revised Union Version Mwenye haki huokolewa katika dhiki, Na mtu mwovu ataiingia badala yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu mnyofu huokolewa katika shida, na mwovu huingia humo badala yake. Biblia Habari Njema - BHND Mtu mnyofu huokolewa katika shida, na mwovu huingia humo badala yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu mnyofu huokolewa katika shida, na mwovu huingia humo badala yake. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake. BIBLIA KISWAHILI Mwenye haki huokolewa katika dhiki, Na mtu mwovu ataiingia badala yake. |
Asiyemcha Mungu humpoteza jirani yake kwa kinywa chake; Bali wenye haki watapona kwa maarifa.
Ndipo mfalme Dario akawaandikia watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, waliokaa juu ya uso wa dunia; Amani na iongezeke kwenu.