Methali 11:7 - Swahili Revised Union Version7 Mtu mwovu atakapokufa, taraja lake linapotea; Na matumaini ya uovu huangamia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwovu akifa tumaini lake nalo hutoweka; tazamio la asiyemcha Mungu huishia patupu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwovu akifa tumaini lake nalo hutoweka; tazamio la asiyemcha Mungu huishia patupu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwovu akifa tumaini lake nalo hutoweka; tazamio la asiyemcha Mungu huishia patupu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Matumaini yaliyo katika wanadamu hufa pamoja nao; ahadi zote za uwezo wao hubatilika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Mtu mwovu atakapokufa, taraja lake linapotea; Na matumaini ya uovu huangamia. Tazama sura |