Methali 11:9 - Swahili Revised Union Version9 Asiyemcha Mungu humpoteza jirani yake kwa kinywa chake; Bali wenye haki watapona kwa maarifa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Asiyemcha Mungu huangamiza wengine kwa mdomo wake, lakini mwadilifu huokolewa kwa maarifa yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Asiyemcha Mungu huangamiza wengine kwa mdomo wake, lakini mwadilifu huokolewa kwa maarifa yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Asiyemcha Mungu huangamiza wengine kwa mdomo wake, lakini mwadilifu huokolewa kwa maarifa yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu humwangamiza jirani yake, bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu humwangamiza jirani yake, bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Asiyemcha Mungu humpoteza jirani yake kwa kinywa chake; Bali wenye haki watapona kwa maarifa. Tazama sura |