Methali 11:10 - Swahili Revised Union Version10 Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu wanapoangamia, watu hushangilia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Waadilifu wakipata fanaka mji hushangilia, na waovu wakiangamia watu hupiga vigelegele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Waadilifu wakipata fanaka mji hushangilia, na waovu wakiangamia watu hupiga vigelegele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Waadilifu wakipata fanaka mji hushangilia, na waovu wakiangamia watu hupiga vigelegele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi; mwovu anapoangamia, kuna shangwe za furaha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wakati mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi; mwovu atowekapo, kuna kelele za furaha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu wanapoangamia, watu hushangilia. Tazama sura |