Basi Mungu akawatendea mema wale wakunga; na hao watu wakaongezeka sana, wakaendelea na kuzidi kuwa na nguvu nyingi.
Methali 11:18 - Swahili Revised Union Version Mtu mwovu hupata mshahara wa udanganyifu; Apandaye haki ana thawabu ya hakika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Faida anayopata mwovu ni ya uongo, lakini atendaye mema hakika atapata faida ya kweli. Biblia Habari Njema - BHND Faida anayopata mwovu ni ya uongo, lakini atendaye mema hakika atapata faida ya kweli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Faida anayopata mwovu ni ya uongo, lakini atendaye mema hakika atapata faida ya kweli. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu, bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu, bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. BIBLIA KISWAHILI Mtu mwovu hupata mshahara wa udanganyifu; Apandaye haki ana thawabu ya hakika. |
Basi Mungu akawatendea mema wale wakunga; na hao watu wakaongezeka sana, wakaendelea na kuzidi kuwa na nguvu nyingi.
Moyo wao umegawanyika; sasa wataonekana kuwa na hatia; yeye atazipiga madhabahu zao, ataziharibu nguzo zao.
Naye avunaye hupokea mshahara, na kukusanya matunda kwa uzima wa milele, ili yeye apandaye na yeye avunaye wapate kufurahi pamoja.
mvue mwenendo wenu wa kwanza, utu wa zamani unaoharibika, kwa kuzifuata tamaa zenye kudanganya;