Hosea 10:2 - Swahili Revised Union Version2 Moyo wao umegawanyika; sasa wataonekana kuwa na hatia; yeye atazipiga madhabahu zao, ataziharibu nguzo zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mioyo yao imejaa udanganyifu. Sasa ni lazima wawajibike kwa hatia yao. Mwenyezi-Mungu atazibomoa madhabahu zao na kuziharibu nguzo zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mioyo yao imejaa udanganyifu. Sasa ni lazima wawajibike kwa hatia yao. Mwenyezi-Mungu atazibomoa madhabahu zao na kuziharibu nguzo zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mioyo yao imejaa udanganyifu. Sasa ni lazima wawajibike kwa hatia yao. Mwenyezi-Mungu atazibomoa madhabahu zao na kuziharibu nguzo zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Moyo wao ni mdanganyifu, nao sasa lazima wachukue hatia yao. Mwenyezi Mungu atabomoa madhabahu zao na kuharibu mawe yao ya ibada. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Moyo wao ni mdanganyifu, nao sasa lazima wachukue hatia yao. bwana atabomoa madhabahu zao na kuharibu mawe yao ya ibada. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Moyo wao umegawanyika; sasa wataonekana kuwa na hatia; yeye atazipiga madhabahu zao, ataziharibu nguzo zao. Tazama sura |