Hosea 10:3 - Swahili Revised Union Version3 Yakini sasa watasema, Hatuna mfalme; kwa maana hatumchi BWANA; na mfalme huyu je! Aweza kututendea nini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wakati huo watasema: “Hatuna tena mfalme, kwa kuwa hatumchi Mwenyezi-Mungu; lakini, naye mfalme atatufanyia nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wakati huo watasema: “Hatuna tena mfalme, kwa kuwa hatumchi Mwenyezi-Mungu; lakini, naye mfalme atatufanyia nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wakati huo watasema: “Hatuna tena mfalme, kwa kuwa hatumchi Mwenyezi-Mungu; lakini, naye mfalme atatufanyia nini?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kisha watasema, “Hatuna mfalme kwa sababu hatukumheshimu Mwenyezi Mungu. Lakini hata kama tungekuwa na mfalme, angeweza kutufanyia nini?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kisha watasema, “Hatuna mfalme kwa sababu hatukumheshimu bwana. Lakini hata kama tungelikuwa na mfalme, angeweza kutufanyia nini?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Yakini sasa watasema, Hatuna mfalme; kwa maana hatumchi BWANA; na mfalme huyu je! Aweza kututendea nini? Tazama sura |