Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 10:16 - Swahili Revised Union Version

16 Kazi yake mwenye haki huuelekea uzima; Mazao ya wabaya huielekea dhambi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Tuzo la mtu mwema ni uhai, lakini mwovu huishia katika dhambi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Tuzo la mtu mwema ni uhai, lakini mwovu huishia katika dhambi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Tuzo la mtu mwema ni uhai, lakini mwovu huishia katika dhambi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Ujira wa wenye haki huwaletea uzima, lakini mapato ya waovu ni dhambi na mauti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Ujira wa wenye haki huwaletea uzima, lakini mapato ya waovu huwaletea adhabu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Kazi yake mwenye haki huuelekea uzima; Mazao ya wabaya huielekea dhambi.

Tazama sura Nakili




Methali 10:16
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mazao ya mwenye haki ni mti wa uzima; Na mwenye hekima huvuta roho za watu.


Aandamaye haki na fadhili, Ataona uhai na haki na heshima.


Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wizi, ushuhuda wa uongo, na matukano;


Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele; ambacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo ndiye aliyetiwa mhuri na Baba, yaani, Mungu.


Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.


Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, msitikisike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mnajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana.


Lakini watu waovu na wadanganyaji wataendelea, na kuzidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika.


Maana Mungu si dhalimu hata aisahau kazi yenu, na pendo lile mlilolidhihirisha kwa jina lake, kwa kuwa mmewahudumia watakatifu, na hata hivi sasa mngali mkiwahudumia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo