Methali 10:15 - Swahili Revised Union Version15 Mali ya tajiri ndio ngome yake; Ufukara wa maskini ndio umwangamizao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mali ya tajiri ndio ngome yake, umaskini wa maskini humletea maangamizi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mali ya tajiri ndio ngome yake, umaskini wa maskini humletea maangamizi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mali ya tajiri ndio ngome yake, umaskini wa maskini humletea maangamizi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, bali ufukara ni maangamizi ya maskini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, bali ufukara ni maangamizi ya maskini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Mali ya tajiri ndio ngome yake; Ufukara wa maskini ndio umwangamizao. Tazama sura |