Mhubiri 10:8 - Swahili Revised Union Version8 Mwenye kuchimba shimo atatumbukia ndani yake; Na yeye abomoaye boma, nyoka atamwuma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mchimba shimo hutumbukia mwenyewe, abomoaye ukuta huumwa na nyoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mchimba shimo hutumbukia mwenyewe, abomoaye ukuta huumwa na nyoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mchimba shimo hutumbukia mwenyewe, abomoaye ukuta huumwa na nyoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Yeye achimbaye shimo aweza kutumbukia ndani yake, yeyote abomoaye ukuta anaweza kuumwa na nyoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Yeye achimbaye shimo aweza kutumbukia ndani yake, yeyote abomoaye ukuta anaweza kuumwa na nyoka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Mwenye kuchimba shimo atatumbukia ndani yake; Na yeye abomoaye boma, nyoka atamwuma. Tazama sura |