Mhubiri 10:9 - Swahili Revised Union Version9 Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo; Naye apasuaye miti huona hatari katika hiyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mchonga mawe huumizwa nayo, mkata kuni hukabiliwa na hatari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mchonga mawe huumizwa nayo, mkata kuni hukabiliwa na hatari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mchonga mawe huumizwa nayo, mkata kuni hukabiliwa na hatari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo; Naye apasuaye miti huona hatari katika hiyo. Tazama sura |