Methali 10:23 - Swahili Revised Union Version Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; Bali mtu mwenye ufahamu ana hekima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; lakini watu wenye busara hufurahia hekima. Biblia Habari Njema - BHND Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; lakini watu wenye busara hufurahia hekima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; lakini watu wenye busara hufurahia hekima. Neno: Bibilia Takatifu Mpumbavu hufurahia hila, lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na hekima. Neno: Maandiko Matakatifu Mpumbavu hufurahia tabia mbaya, lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na hekima. BIBLIA KISWAHILI Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; Bali mtu mwenye ufahamu ana hekima. |
Upumbavu ni furaha kwake aliyepungukiwa na akili; Bali mwenye ufahamu huunyosha mwenendo wake.
Wewe kijana, uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako, ukaziendee njia za moyo wako, na kinachotamaniwa na macho yako, lakini ujue wewe ya kwamba kwa ajili ya hayo yote Mungu atakuleta hukumuni.