Methali 1:26 - Swahili Revised Union Version Mimi nami nitacheka siku ya msiba wenu, Nitadhihaki hofu yenu ifikapo; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema nami pia nitayachekelea maafa yenu, nitawadhihaki mnapokumbwa na hofu, Biblia Habari Njema - BHND nami pia nitayachekelea maafa yenu, nitawadhihaki mnapokumbwa na hofu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza nami pia nitayachekelea maafa yenu, nitawadhihaki mnapokumbwa na hofu, Neno: Bibilia Takatifu mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki janga litakapowapata: Neno: Maandiko Matakatifu mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga litawapata: BIBLIA KISWAHILI Mimi nami nitacheka siku ya msiba wenu, Nitadhihaki hofu yenu ifikapo; |
Maana nawaambia ya kwamba katika wale walioalikwa, hakuna hata mmoja atakayeionja karamu yangu.
Tena itakuwa, kama vile alivyokuwa akifurahi BWANA juu yenu kwa kuwatendea mema na kuwafanya kuwa wengi, ndivyo atakavyofurahi BWANA juu yenu kwa kuwapoteza na kuwaangamiza; nanyi mtanyakuliwa katika hiyo nchi mwingiayo kuimiliki.
Haya, endeni mkaililie hiyo miungu mliyoichagua; na hiyo iwaokoe wakati wa kusumbuka kwenu.