Methali 19:29 - Swahili Revised Union Version29 Hukumu zimewekwa tayari kwa wenye mzaha; Na mapigo kwa mgongo wa wapumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Adhabu iko tayari kwa wenye mzaha, mijeledi imetayarishwa kuchapa migongo ya wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Adhabu iko tayari kwa wenye mzaha, mijeledi imetayarishwa kuchapa migongo ya wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Adhabu iko tayari kwa wenye mzaha, mijeledi imetayarishwa kuchapa migongo ya wapumbavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Hukumu zimewekwa tayari kwa wenye mzaha; Na mapigo kwa mgongo wa wapumbavu. Tazama sura |