Methali 1:25 - Swahili Revised Union Version Bali mmeupuuza ushauri wangu, Wala hamkutaka maonyo yangu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mkapuuza mashauri yangu yote, wala hamkuyajali maonyo yangu, Biblia Habari Njema - BHND mkapuuza mashauri yangu yote, wala hamkuyajali maonyo yangu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mkapuuza mashauri yangu yote, wala hamkuyajali maonyo yangu, Neno: Bibilia Takatifu kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu, Neno: Maandiko Matakatifu kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu, BIBLIA KISWAHILI Bali mmeupuuza ushauri wangu, Wala hamkutaka maonyo yangu; |
lakini waliwadhihaki wajumbe wa Mungu, na kuyadharau maneno yake, na kuwacheka manabii wake, hata ilipozidi ghadhabu ya BWANA juu ya watu wake, hata kusiwe na kuponya.
kwa sababu hiyo, asema BWANA, Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli; Tazama nitaleta juu ya Yuda, na juu ya wenyeji wote wa Yerusalemu, mabaya yote niliyoyatamka juu yao; kwa sababu nimesema nao, wasinisikilize; nimewaita, wala hawakuniitikia.
Lakini, Mafarisayo na wanasheria walilipinga shauri la Mungu juu yao, kwa kuwa hawakubatizwa naye.
Mkarudi mkalia mbele za BWANA; BWANA asiisikize sauti yenu, wala hakuelekeza masikio yake kwenu.
Nanyi mtalia siku ile kwa sababu ya mfalme wenu mliyejichagulia; BWANA asiwajibu siku ile.