Methali 8:14 - Swahili Revised Union Version14 Ushauri ni wangu, na maarifa yaliyo sahihi; Mimi ni ufahamu, mimi nina nguvu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Nina uwezo wa kushauri na nina hekima. Ninao ujuzi na nina nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Nina uwezo wa kushauri na nina hekima. Ninao ujuzi na nina nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Nina uwezo wa kushauri na nina hekima. Ninao ujuzi na nina nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; nina ufahamu na nina nguvu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; nina ufahamu na nina nguvu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Ushauri ni wangu, na maarifa yaliyo sahihi; Mimi ni ufahamu, mimi nina nguvu. Tazama sura |