Methali 8:15 - Swahili Revised Union Version15 Kwa msaada wangu wafalme humiliki, Na wakuu wanahukumu haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kwa msaada wangu wafalme hutawala, watawala huamua yaliyo ya haki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kwa msaada wangu wafalme hutawala, watawala huamua yaliyo ya haki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kwa msaada wangu wafalme hutawala, watawala huamua yaliyo ya haki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kwa msaada wangu wafalme hutawala na watawala hutunga sheria zilizo za haki, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kwa msaada wangu wafalme hutawala na watawala hutunga sheria zilizo za haki, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Kwa msaada wangu wafalme humiliki, Na wakuu wanahukumu haki. Tazama sura |
ya kuwa utafukuzwa mbali na wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa mwituni, nawe utalazimishwa kula majani kama ng'ombe, nawe utanyeshewa na umande wa mbinguni, na nyakati saba zitapita juu yako; hata utakapojua ya kuwa Aliye Juu ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa yeye amtakaye, awaye yote.