Methali 8:16 - Swahili Revised Union Version16 Kwa msaada wangu wakuu hutawala, Na waungwana, naam, waamuzi wote wa dunia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kwa msaada wangu viongozi hutawala, wakuu na watawala halali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kwa msaada wangu viongozi hutawala, wakuu na watawala halali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kwa msaada wangu viongozi hutawala, wakuu na watawala halali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 kwa msaada wangu wakuu hutawala, na wenye vyeo wote watawalao dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 kwa msaada wangu wakuu hutawala, na wenye vyeo wote watawalao dunia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kwa msaada wangu wakuu hutawala, Na waungwana, naam, waamuzi wote wa dunia. Tazama sura |