Mathayo 9:31 - Swahili Revised Union Version Lakini wakatoka, wakaeneza habari zake katika nchi ile yote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote. Biblia Habari Njema - BHND Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote. Neno: Bibilia Takatifu Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote. BIBLIA KISWAHILI Lakini wakatoka, wakaeneza habari zake katika nchi ile yote. |
Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.
Na habari zake zikaenea katika Shamu yote; wakamletea wote waliokuwa wagonjwa, walioshikwa na maradhi mbalimbali na mateso, wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.
Akawaonya wasimwambie mtu; lakini kadiri ya alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari;
Yesu akarudi kwa nguvu za Roho, akaendea Galilaya; habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando.
Lakini habari zake zikazidi kuenea, wakakutanika makutano mengi wamsikilize na kuponywa magonjwa yao.