Mathayo 9:31 - Swahili Revised Union Version31 Lakini wakatoka, wakaeneza habari zake katika nchi ile yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Lakini wakatoka, wakaeneza habari zake katika nchi ile yote. Tazama sura |