Mathayo 9:32 - Swahili Revised Union Version32 Na hao walipokuwa wakiondoka, tazama, walimletea mtu bubu mwenye pepo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Watu walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea Yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Watu walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea Yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Watu walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea Yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Walipokuwa wanatoka, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu na ambaye hakuweza kuongea aliletwa kwa Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Walipokuwa wanatoka, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu na ambaye hakuweza kuongea aliletwa kwa Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Na hao walipokuwa wakiondoka, tazama, walimletea mtu bubu mwenye pepo. Tazama sura |