Luka 4:14 - Swahili Revised Union Version14 Yesu akarudi kwa nguvu za Roho, akaendea Galilaya; habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hapo Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hapo Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hapo Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kisha Isa akarudi hadi Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho wa Mungu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kisha Isa akarudi mpaka Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho wa Mwenyezi Mungu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Yesu akarudi kwa nguvu za Roho, akaenda Galilaya; habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando. Tazama sura |