Luka 7:17 - Swahili Revised Union Version17 Habari hii yake ikaenea kote katika Yudea yote, na katika nchi zote za karibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Habari hizo zikaenea kote katika Yudea na katika nchi za jirani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Habari hizo zikaenea kote katika Yudea na katika nchi za jirani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Habari hizo zikaenea kote katika Yudea na katika nchi za jirani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Habari hizi za mambo aliyoyafanya Isa zikaenea Yudea yote na sehemu zote za jirani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Habari hizi za mambo aliyoyafanya Isa zikaenea Uyahudi wote na sehemu zote za jirani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Habari hii yake ikaenea kote katika Yudea yote, na katika nchi zote za karibu. Tazama sura |