Marko 15:23 - Swahili Revised Union Version Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye alikataa kunywa. Biblia Habari Njema - BHND Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye alikataa kunywa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye alikataa kunywa. Neno: Bibilia Takatifu Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa. Neno: Maandiko Matakatifu Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa. BIBLIA KISWAHILI Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee. |
wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa.
Amin, nawaambia ninyi, Sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hata siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu.
Maana nawaambia ya kwamba tangu sasa sinywi mazao ya mzabibu hadi ufalme wa Mungu utakapokuja.