Luka 22:18 - Swahili Revised Union Version18 Maana nawaambia ya kwamba tangu sasa sinywi mazao ya mzabibu hadi ufalme wa Mungu utakapokuja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa maana nawaambia tangu sasa sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi ufalme wa Mungu utakapokuja.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa maana nawaambia tangu sasa sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi Ufalme wa Mwenyezi Mungu utakapokuja.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Maana nawaambia ya kwamba tangu sasa sinywi mazao ya mzabibu hadi ufalme wa Mungu utakapokuja. Tazama sura |