Marko 15:23 - Swahili Revised Union Version23 Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye alikataa kunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye alikataa kunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye alikataa kunywa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane, asiipokee. Tazama sura |