Marko 15:22 - Swahili Revised Union Version22 Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kisha wakampeleka Isa hadi mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kisha wakampeleka Isa mpaka mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa). Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa. Tazama sura |