Mathayo 27:34 - Swahili Revised Union Version34 wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Hapo wakampa Isa divai iliyochanganywa na nyongo ili anywe; lakini alipoionja, akakataa kuinywa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Hapo wakampa Isa divai iliyochanganywa na nyongo ili anywe; lakini alipoionja, akakataa kuinywa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa. Tazama sura |