Zaburi 101:4 - Swahili Revised Union Version Moyo wa ukaidi utaondoka kwangu, Lililo ovu sitalijua. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Upotovu wowote ule uwe mbali nami; sitahusika kabisa na uovu. Biblia Habari Njema - BHND Upotovu wowote ule uwe mbali nami; sitahusika kabisa na uovu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Upotovu wowote ule uwe mbali nami; sitahusika kabisa na uovu. Neno: Bibilia Takatifu Moyo wa ukaidi utakuwa mbali nami; nitajitenga na kila ubaya. Neno: Maandiko Matakatifu Moyo wa ukaidi utakuwa mbali nami; nitajitenga na kila ubaya. BIBLIA KISWAHILI Moyo wa ukaidi utaondoka kwangu, Lililo ovu sitalijua. |
Ondokeni kwangu, ninyi nyote mtendao uovu; Kwa kuwa BWANA ameisikia sauti ya kilio changu.
Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki; Na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.
Kumcha BWANA ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
nami nikateremshwa ndani ya kapu, katika dirisha la ukutani, nikaokoka katika mikono yake.
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye mhuri huu, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila aliitaye jina la Bwana na auache uovu.