Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.
Mwanzo 9:19 - Swahili Revised Union Version Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hao ndio watoto watatu wa Noa, na kutokana nao watu walienea duniani kote. Biblia Habari Njema - BHND Hao ndio watoto watatu wa Noa, na kutokana nao watu walienea duniani kote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hao ndio watoto watatu wa Noa, na kutokana nao watu walienea duniani kote. Neno: Bibilia Takatifu Hao walikuwa wana watatu wa Nuhu, na kutokana nao watu walienea katika dunia. Neno: Maandiko Matakatifu Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Nuhu, kutokana nao watu walienea katika dunia. BIBLIA KISWAHILI Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu. |
Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.
Utoe pamoja nawe kila kilicho hai kilichomo pamoja nawe, chenye mwili, ndege, na mnyama, na kila kitambaacho, chenye kutambaa juu ya nchi; wajae katika nchi, wawe na uzazi, wakaongezeke katika nchi.