Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 9:18 - Swahili Revised Union Version

18 Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Watoto wa Noa waliotoka katika safina walikuwa Shemu, Hamu na Yafethi. Hamu alikuwa baba yake Kanaani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Watoto wa Noa waliotoka katika safina walikuwa Shemu, Hamu na Yafethi. Hamu alikuwa baba yake Kanaani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Watoto wa Noa waliotoka katika safina walikuwa Shemu, Hamu na Yafethi. Hamu alikuwa baba yake Kanaani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Wana wa Nuhu waliotoka ndani ya safina walikuwa: Shemu, na Hamu, na Yafethi. (Hamu ndiye alikuwa baba wa Kanaani.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Wana wa Nuhu waliotoka ndani ya safina ni: Shemu, Hamu na Yafethi. (Hamu ndiye alikuwa baba wa Kanaani.)

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 9:18
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.

Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.

Baada ya Nuhu kufikisha umri wa miaka mia tano, aliwazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi.

Mungu akamwambia Nuhu, Hii ndiyo ishara ya agano nililoliweka kati yangu na watu wote walioko katika nchi.

Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.

na Nuhu, na Shemu, na Hamu, na Yafethi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo