Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 9:19 - Swahili Revised Union Version

19 Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Hao ndio watoto watatu wa Noa, na kutokana nao watu walienea duniani kote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Hao ndio watoto watatu wa Noa, na kutokana nao watu walienea duniani kote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Hao ndio watoto watatu wa Noa, na kutokana nao watu walienea duniani kote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Hao walikuwa wana watatu wa Nuhu, na kutokana nao watu walienea katika dunia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Nuhu, kutokana nao watu walienea katika dunia.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 9:19
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.


Baada ya Nuhu kufikisha umri wa miaka mia tano, aliwazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi.


Utoe pamoja nawe kila kilicho hai kilichomo pamoja nawe, chenye mwili, ndege, na mnyama, na kila kitambaacho, chenye kutambaa juu ya nchi; wajae katika nchi, wawe na uzazi, wakaongezeke katika nchi.


Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi.


Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;


Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni sana katika nchi, mkaongezeke ndani yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo