Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 9:17 - Swahili Revised Union Version

17 Mungu akamwambia Nuhu, Hii ndiyo ishara ya agano nililoliweka kati yangu na watu wote walioko katika nchi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mungu akamwambia Noa, “Hii ndiyo ishara ya agano ambalo nimefanya na viumbe vyote hai duniani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mungu akamwambia Noa, “Hii ndiyo ishara ya agano ambalo nimefanya na viumbe vyote hai duniani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mungu akamwambia Noa, “Hii ndiyo ishara ya agano ambalo nimefanya na viumbe vyote hai duniani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Hivyo Mungu akamwambia Nuhu, “Hii ndiyo ishara ya agano ambalo nimelifanya kati yangu na viumbe vyote vilivyo hai duniani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Hivyo Mungu akamwambia Nuhu, “Hii ndiyo ishara ya Agano ambalo nimelifanya kati yangu na viumbe vyote vilivyo hai duniani.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Mungu akamwambia Nuhu, Hii ndiyo ishara ya agano nililoliweka kati yangu na watu wote walioko katika nchi.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 9:17
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akasema, Hii ndiyo ishara ya agano nifanyalo kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai kilichoko pamoja nanyi, kwa vizazi vyote hata milele;

Basi huo upinde utakuwa winguni; nami nitauangalia nipate kulikumbuka agano la milele lililoko kati ya Mungu na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili kilichoko katika nchi.

Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.

Tazama, nilithibitisha agano langu nanyi; tena na uzao wenu baada yenu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo