Mwanzo 9:1 - Swahili Revised Union Version1 Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ndipo Mungu akawabariki Nuhu na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, mkaongezeke kwa idadi, na mkaijaze tena dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ndipo Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akiwaambia, “Zaeni mkaongezeke kwa idadi na mkaijaze tena dunia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi. Tazama sura |