Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 5:32 - Swahili Revised Union Version

32 Baada ya Nuhu kufikisha umri wa miaka mia tano, aliwazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Noa alipokuwa na umri wa miaka 500, alimzaa Shemu na Hamu na Yafethi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Noa alipokuwa na umri wa miaka 500, alimzaa Shemu na Hamu na Yafethi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Noa alipokuwa na umri wa miaka 500, alimzaa Shemu na Hamu na Yafethi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Baada ya Nuhu kuishi miaka mia tano, aliwazaa Shemu, Hamu, na Yafethi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Baada ya Nuhu kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

32 Baada ya Nuhu kufikisha umri wa miaka mia tano, aliwazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 5:32
13 Marejeleo ya Msalaba  

Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.


Naye Shemu ambaye ni baba wa wana wote wa Eberi, na ndugu mkubwa wa Yafethi, akazaliwa wana.


Hizo ndizo jamaa za wana wa Nuhu, kufuata vizazi vyao, katika mataifa yao; na kwa hao mataifa yaligawanyika katika nchi baada ya gharika.


Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.


Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa.


Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,


Nuhu akazaa wana watatu wa kiume, Shemu, na Hamu, na Yafethi.


Siku ile ile Nuhu akaingia katika safina, yeye, na Shemu na Hamu na Yafethi, wana wa Nuhu, na mkewe Nuhu, na wake watatu wa wanawe pamoja naye;


Naye Nuhu alikuwa mtu wa miaka mia sita hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.


wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo