Mwanzo 5:31 - Swahili Revised Union Version31 Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Lameki alifariki akiwa na umri wa miaka 777. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Lameki alifariki akiwa na umri wa miaka 777. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Lameki alifariki akiwa na umri wa miaka 777. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Lameki aliishi jumla ya miaka mia saba sabini na saba (777), ndipo akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa. Tazama sura |