Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 5:30 - Swahili Revised Union Version

30 Lameki akaishi baada ya kumzaa Nuhu miaka mia tano na tisini na mitano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Baada ya kumzaa Noa, Lameki aliishi miaka 595 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Baada ya kumzaa Noa, Lameki aliishi miaka 595 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Baada ya kumzaa Noa, Lameki aliishi miaka 595 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Baada ya Nuhu kuzaliwa, Lameki aliishi miaka mia tano na tisini na tano (595), akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Baada ya Nuhu kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

30 Lameki akaishi baada ya kumzaa Nuhu miaka mia tano na tisini na mitano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 5:30
3 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwita jina lake Nuhu, akinena, Huyu ndiye atakayetufariji kwa kazi yetu na kwa taabu ya mikono yetu katika nchi aliyoilaani BWANA.

Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa.

Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, wa kiume na wa kike.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo