Mwanzo 6:1 - Swahili Revised Union Version1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Idadi ya watu ilipoanza kuongezeka duniani, na watoto wa kike wakazaliwa kwao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Watu walipoanza kuongezeka idadi katika uso wa dunia na watoto wa kike wakazaliwa kwao, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, Tazama sura |