Mwanzo 10:1 - Swahili Revised Union Version1 Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya gharika, watoto wa Noa, Shemu, Hamu na Yafethi, walipata watoto wa kiume na wa kike. Hii ndiyo orodha ya wazawa wao: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya gharika, watoto wa Noa, Shemu, Hamu na Yafethi, walipata watoto wa kiume na wa kike. Hii ndiyo orodha ya wazawa wao: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya gharika, watoto wa Noa, Shemu, Hamu na Yafethi, walipata watoto wa kiume na wa kike. Hii ndiyo orodha ya wazawa wao: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, yaani Shemu, Hamu na Yafethi, ambao walizaa wana baada ya gharika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Hawa ndio wazao wa Nuhu: Shemu, Hamu na Yafethi, ambao walizaa wana baada ya gharika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika. Tazama sura |